Dr mlelwa for the best performance of necta exams

Chagua kipindi, lipia na anza kusoma kwa njia ya kidijitali

180 Online courses

Explore a variety of fresh topics

Expert instruction

Find the right course for you

Lifetime access

Learn on your schedule

Latest blogs

Mtokeo ya kidato cha pili yametoka

Created by - Eng Anold Mwinuka

Mtokeo ya kidato cha pili yametoka

Tazama matokeo ya form 2 necta moja kwa moja  kupitia link hii hapa chini https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htmGusa hapa kutazama matokeo ya necta form 2 

More details

Published - Sat, 07 Jan 2023

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022

Created by - Dr. Mlelwa

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022

Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza darasa la saba yaani Primary school leaving examination (PSLE) mwaka 2022Bonyeza hapa ili uone matokeo hayoMatokeo ya darasa la saba 2022

More details

Published - Thu, 01 Dec 2022

MASOMO YA PRE FORM ONE

Created by - Eng Anold Mwinuka

MASOMO YA PRE FORM ONE

WAALIMU NA WAFANYAKAZI WOTE WA DR MLELWA TUNAPENDWA KUWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE AMBAO WAMEMALIZA DARASA LA SABA MASOMO YA PRE FORM 1Kwa mwaka wa masomo 2023, wanafunzi wanatakiwa kujiunga na masomo ya sekondari ya form 1, hivyo sisi kama Dr mlelwa tuichukua hii dhamana ya kuwaandaa hawa wanafunzi ili kwenda kukabiliana na mazingira mapya lakini pia jinsi ya kuweza kusoma vizuri na kufaulu.Waalimu wetu wamejipanga na tuna uzoefu wa kufundisha tangu 2022, hivyo mwanao au wewe mwanafunzi ukisoma kupitia jukwaa hili utakuwa umeingia kwenye list ya wanafunzi bora Tz, wanafunzi wote tunao wafundisha hawajawai kufeli  iwe form 4 au form 6.chagua sasa kusoma nasi kwa matokeo bora na uelewa sahihi.BONYEZA HAPA KUTEMBELEA WEBSITE YETU

More details

Published - Tue, 04 Oct 2022

SAMIA SCHOLARSHIPS

Created by - Eng Anold Mwinuka

SAMIA SCHOLARSHIPS

KUANGALIA MAJINA  AU KUPATA PDF YA MAJINA BONYEZA LINK HII HAPA CHINIBONYEZA KUPATA PDF YA MAJINA .WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kesho inatarajia kutangaza majina ya  wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship baada ya kufanya vizuri masomo ya sayansi.Waziri wa wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda alisema Jumapili jijini Dodoma kuwa katika kupata ufadhili huo hakutakuwa na upendeleo au ushawishi.“Septemba 27, 2022 (kesho) tunafungua rasmi tangazo la wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na kufanya mitihani kupitia Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) na kufaulu vizuri kwenye masomo ya sayansi ambao wanastahili kupewa Samia Scholarship, baada ya hapo majina yao yatatangazwa.” alisema Profesa Mkenda wakati wa kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kufungua tangazo la Samia Scholarship.Aliongeza “Kwa wanafunzi ambao wamefanya vizuri sana katika masomo ya sayansi ambao wanastahili kupewa Samia Scholarship tunayo majina 640, tutangaza.”Profesa Mkenda alisema moja ya kigezo cha kupata ufadhili ni mwanafunzi kudahiliwa kwenye vyuo vikuu vya ndani ya nchi kusoma masomo ya sayansi, uhandisi na elimu tiba.Alisema kwa mwanafunzi ambaye atadahiliwa kwenye masomo ambayo si ya sayansi hawatanufaika na ufadhili huo hata kama jina lipo kwenye orodha ya walio na sifa ya kupata.“Unaweza  ukawa umefaulu masomo ya sayansi na ukawemo kwenye orodha tutakayoitangaza lakini umeenda kwenda kusoma nje ya nchi kwa mtu anakusomesha basi utakosa fursa hii”alisema profesa Mkenda na kuongeza;“Pia unaweza jina lako likawepo na umedahiliwa katika chuo kikuu hapa Tanzania nje ya masomo ya sayansi, uhandisi na elimu tiba utakosa fursa hiyo”Aliongeza “Kikubwa mwanafunzi awe umefaulu masomo ya sayansi, hakuna lobbying matokeo ya nani kafauli vizuri yako wazi na kila mtu anaweza kuona, kwa hiyo hakuna cha kusema mtoto wa Mkenda au Silvia, hapana ulichofaulu ndio kitakufanya uchaguliwe.”Profesa Mkenda alisema Wizara imetanga Sh bilioni tatu ambazo zinaweza kuwatosha wanafuzi 640 kwa mwaka wa kwanza.“Tutakapoingia mwaka wa pili inaweza kuwa shilingi bilioni sita na zitaendelea kuongezeka kulingana na uhitaji, hapa tutazindua tangazo lakini uzinduzi wa hii scholarship yenyewe tumemuomba Rais akutane na hao watakaokuwa wamekamilisha vigezo vyote.”alisema.

More details

Published - Wed, 28 Sep 2022

Join now to start learning

Get started

Become instructor

Join now
//THIS IS SARUFI BOT //SARUFI BOT END HERE