PAPER ADVANCE MATHEMATICS PAPER 2

Created by Eng Anold Mwinuka

Publication name Dr mlelwa lectures

Published date : Sat, 20-May-2023

Category name : Vitabu

0(0 Ratings)

Free

Free download

Book specification and summary

PAPER ADVANCE MATHEMATICS PAPER 2

Hivi ni vitabu vinavyotolewa na taasisi ya dr Mlelwa lectures

Title PAPER ADVANCE MATHEMATICS PAPER 2
Author Eng Anold Mwinuka
Publisher Dr mlelwa lectures
Edition new edition
No. of page 5

Eng Anold Mwinuka

Safari yangu ya kielimu ilianza katika shule ya Msingi ya Ikulu iliyopo Ilomba jijini Mbeya, nilipomaliza nikaingia secondary katika shule ya Sekondari Pandahill Sec(2022 -2016), nikamalizia elimu yangu ya sekondari shule ya Jifunzeni sec iliyopo Hitua Mbeya(2017).

 2018 nikaokoka(kanisa la KIKOSI KAZI CHA INJILI) na baada ya hapo nikaenda Morogoro na huu ndio ulikuwa mwanzo wa mabadiloko katika maisha yangu baada tu ya kuokoka nikapata akili kubwa mno sijawai ipata. 2020 nikiwa Kwiro Boys - PCM nikamaliza.

2020 Tukaanza kufundisha mimi na kaka yangu kupitia youtube BURE kabisa kama tulivyofundishwa ibadani. 2021 tulianza kuwatoza watu gharama kidogo ili tusilemewe.

Pia 2020 december nikaingia Must nikakutana watu wengine ujuzi nilionao ukaongezeka zaidi na 2022 nikaja na wazo hili la kutatua changamoto za kupata na kuuza ujuzi kwa njia ya Mtandao. 

Dr Mlelwa  litakuwa suruhisho la changamoto nyingi sana Tanzania kama watu watataka kuvuka katika changam,oto hizo.

Mungu awabariki wote

Other related ebooks

ebook image
Heat questions

by Eng Anold Mwinuka

0(0 Ratings)
ebook image
PAPER ADVANCE MATHEMATICS P1

by Eng Anold Mwinuka

0(0 Ratings)
ebook image
ISLAMIC SCHOOLS ADV MATH P1

by Eng Anold Mwinuka

0(0 Ratings)
ebook image
SYNDICATE JOINT BAM 2023

by Eng Anold Mwinuka

0(0 Ratings)
About instructor

Eng Anold Mwinuka

Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha MUST (Mbeya University Of Science And Technology), Ninasoma kozi ya Computer Engineering ngazi ya Degree. Mimi pia ni mbunifu wa mifumo ya kitehema kama vile www.drmlelwa.co.tz | www.webusiness.co.tz | www.sokoni.shop pia ipo mifumo ya hardware kama vile we-receiver, we-mixer na alama ya damu automation system na yote hii inafanya kazi na kutumiwa na watu. MOSTLY I LOVE GOD AND THE GOSPLE OF GOD

0 Reviews | 40 Ebooks
Website developer Graphics Designer System adminstrator Physics Mathematics Electrical and electronics Sound Engineer
Safari yangu ya kielimu ilianza katika shule ya Msingi ya Ikulu iliyopo Ilomba jijini Mbeya, nilipomaliza nikaingia secondary katika shule ya Sekondari Pandahill Sec(2022 -2016), nikamalizia elimu yangu ya sekondari shule ya Jifunzeni sec iliyopo Hitua Mbeya(2017). 2018 nikaokoka(kanisa la KIKOSI KAZI CHA INJILI) na baada ya hapo nikaenda Morogoro na huu ndio ulikuwa mwanzo wa mabadiloko katika maisha yangu baada tu ya kuokoka nikapata akili kubwa mno sijawai ipata. 2020 nikiwa Kwiro Boys - PCM nikamaliza.2020 Tukaanza kufundisha mimi na kaka yangu kupitia youtube BURE kabisa kama tulivyofundishwa ibadani. 2021 tulianza kuwatoza watu gharama kidogo ili tusilemewe.Pia 2020 december nikaingia Must nikakutana watu wengine ujuzi nilionao ukaongezeka zaidi na 2022 nikaja na wazo hili la kutatua changamoto za kupata na kuuza ujuzi kwa njia ya Mtandao. Dr Mlelwa  litakuwa suruhisho la changamoto nyingi sana Tanzania kama watu watataka kuvuka katika changam,oto hizo.Mungu awabariki wote
Ebook review
0
0 Reviews
  • (0)
  • (0)
  • (0)
  • (0)
  • (0)

Reviews